Recent content by Msigwah

  1. M

    Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

    Nimependa mawazo Yako. Nitayafanyia kazi.
  2. M

    Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

    Dah umeandika kwa hisia sana. So far nimekuelewa vema Sana. Tuendelee kupambana hii ndo tanzania yetu
  3. M

    Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

    Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
  4. M

    SoC02 Kilimo kuwa mkombozi kwa Mtanzania

    Asante sana kaka. Nitafanya hivo.
  5. M

    SoC02 Kilimo kuwa mkombozi kwa Mtanzania

    Asante sana kaka. Nitafanya hivo.
  6. M

    SoC02 Kilimo kuwa mkombozi kwa Mtanzania

    Utangulizi Sekta ya kilimo ni moja ya sekta nyeti duniani, ambayo inauwezo wa kuzalisha ajira nyingi kuanzia shambani hadi maofisini. Kilimo kimegawanyika katika makundi mawili ya mazao ambayo ni mazao ya biashara na mazao ya chakula . Jamii nyingi za Afrika zimejikita Zaidi kwenye kilimo cha...
  7. M

    Miti ya mbao( pines ) inauzwa_ njombe

    Nina acres 20, Miti ni mikubwa ya kuvuna ina miaka 11. Kila acre tsh. Million 4.5. Mteja anatakiwa kununua acres zote kwa pamoja. No Dalali, mwenye Shamba na Mteja tunatosha 0767514718
Back
Top Bottom