Recent content by MSHINGWA

  1. M

    Lema anafaa kuwa waziri wa wizara ipi kama CHADEMA wakipata madaraka?

    Dr. slaa hana sifa za kuwa Rais wa Tz, Lema hata kuwa mbunge tu wa Arusha mjini ni fedheha, hana sifa zozote za uongozi! Hajui kusolve migogoro zaidi ya kupigana! yeye huitafsiri nguvu ya hoja kama nguvu ya kurushiana ngumi! Anafaa kuwa monita wa form one! au kiongozi wa wavuta bangi!
  2. M

    Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

    mi nilishangaa sana kusikia chopa 3 zinachanja mawingu, nikatafakari dhumuni la kazi yenyewe ni kuhusu katiba mpya, nikajiuliza hii pesa imetoka wapi wakati pesa ya kuita baraza kuu tu imekosekana! Kumbe walichukua kwa mzee wa Monduli ili wammalize jamaa wa leka dutigite! ili asiendeleze ukwas...
Back
Top Bottom