Recent content by mshilakule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kabila lako limetoa mtu gani maarufu?

    sww 2pi99
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali Yangu kwa TFF, Yanga na Simba

    Simba walivosikia yanga wako uwanjani kwanini hawakwenda muda ule ule wao waliogopa nn kama wanajiamin wangeshinda mechi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wanastahili pongezi za dhati

    Hiyo unawaonesha mambumbu wanao ongozwa na manara asie na taaluma yoyote hawatakuelewa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wanastahili pongezi za dhati

    Kupitia hili sakata nazani ni wakati sahihi kwa mzee wetu, Mzee Mwinyi aje kufuta hadharani kauli yake ya Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu maana Mabingwa wa Nchi Yanga wameonesha kujitambua na kuondokana na uzwa wa TFF
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

    Simba na TFF wamepelekwa shule ya Vitendo na Yanga imara maana tukiwambia tff na simba waache figisu walikuwa hawaelew sasa wameanza kuelewa somo kwa vitendo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

    Simba kaogopa kupeleka team akihofia kupasuka mbele ya Yanga ameambulia kupigwa virungu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba wamehujumiwa wazi kabisa

    Manara ameenda shule gani mtu anataka kesi zinazo takiwa zishughulikiwe na Tff, Caf na Fifa yeye anataka zishughulikiwe na Bunge harafu unatamba eti simba ina viongozi Wasomi kama Manara basi hiyo inatoa taswira ya uelewa wa wana simba kwenye mpira
  8. M

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mbumbu mmewafunga wahanga wa corona huko nigeria harafu mwatupigia kelele waongoza league ya bongo
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diego Maradona afariki dunia

    R.I. P Diego Maradona
  10. M

    JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Hawaamin km limekuwa pira kandeee
  11. M

    JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Piraaaaa biliani piraaaaaa kashataaaaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Mpiraaaaa umeishaaaaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Asanteeeee jangwani kwa ushindi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Asanteeeeeeeee mwl kaze
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

    Hiyo ni nyumba ya ukoo cyo yako nazan tafuta kingine
Back
Top Bottom