Si wakati wa kuendekeza Uswahiba.
Serikali imeonywa kutowachagua wenyeviti na wakurugenzi wa bodi za mashirika ya umma kwa misingi ya uswahiba, kulipa fadhila, dini na kabila, bali ifanye hivyo kulingana na uwezo wa wahusika hao.
Baadhi ya wabunge, watendaji na wenyeviti wa bodi za...