Search results

  1. Mshawa

    Kutokana na changamoto ya Ushoga, nini kipo nyuma ya pazia Duniani?

    Huyo mwenye uelewa wa Ushoga na faida zake akikutaka uonane nae akuelimishe kiundani ikiwezekana akufundishe kwa Vitendo upo tayari? Kuchamba kwingi ndio mwanzo wa kujipaka mav*
  2. Mshawa

    Wadau hivi ukiwa na degree afu ukaajiriwa serikalini kwa Cheti cha form four afu degree yako ikawa haina kitengo kwenye hiyo taasisi unafanyaje?

    Unasubiri hadi pale utakapodhibitishwa kazini Kisha unaomba kuhamia pale unapoona panakufaa.
  3. Mshawa

    Kwanini Wafanyakazi wa TANESCO wananunua umeme ofisini?

    Anaetaka majibu sahihi na stahiki aiandikie barua Tanesco watamjibu kwa kina na ufasaha. Una hakika gani na anaejibu hapa kuwa ni Tanesco? Unakwamishwa na nini ama unapatwa na changamoto gani watumishi wa Tanesco kupata punguzo la bei ya umeme? Nadhani ukiandika barua na kufanya haya...
  4. Mshawa

    Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Tununuuu.... Twambomboo... Mtuwache na mbeya Yetu.
  5. Mshawa

    Mambo 5 yatakayokufanya ufe maskini

    Ukinywa maji mengi ni Shida! Ukila nyama nyingi ni shida!! Ukinywa Sana kileo ni shida!!! Ukipumzika muda mrefu ni shida!!!! Kwa hiyo tufanyeje sasa!!!?
  6. Mshawa

    Msaada mwepesi na waharaka wa kubadili TIN namba isiyokuwa ya kibiashara kwenda ya kibiashara

    Andika barua ya kuomba kuihamisha hiyo tin namba kutoka ulikoipatia ije hapo ulipo/unapotaka kufanyia biashara Kisha meneja wa eneo Hilo atawasiliana na meneja wa kule ilipo tin namba yako na kuhamisha taarifa zako. Nb Usitoe rushwa huduma hiyo ni bure.
  7. Mshawa

    Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Kama unayoyaongea ni ya kweli nachelea kusema wewe ni mpumbavu. Na kinacho kupumbaza ni hiki ulichoandika hapa.
  8. Mshawa

    Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

    Wewe ulidandia gari kwa mbele siku nyingine utagongwa.... Aliyetaka na kuamua hayo Ni huyo uliyemsindikiza, na sii wewe.
  9. Mshawa

    TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

    Asante umenifumbua sijawahi kujua kumbe kuna Kuhanga na Luhanga.
  10. Mshawa

    Imekaaje hii. Najikuta nachukia tu kuona house girl anapoongea na mabwana zake kwenye simu

    Eti unalisha una valisha wanapendeza... Kama unadhani hao ni ngombe ama mbuzi chinja(wale wewe). Uko na wivu nakushauri achana nao mind your own things.... Tena wakitendwa uwashauri.
  11. Mshawa

    Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

    Unataka kumfumania ili iweje? Utaweza kujimili? Una plan gani baada ya hapo? Mapenzi hayalazimishwi Hata ushauriweje hapa maamuzi ya mwisho yapo mikononi mwako. Amua vyema. Kila la heri.
  12. Mshawa

    Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Kuolewa ni kanuni ya kimaisha kuzaa ni majaaliwa ya Mola, Kuzaa ni kanuni ya kibinadamu kuolewa ni majaaliwa ya Mola. Shukuru Mola wako kwa kila jambo.
  13. Mshawa

    Sabaya: Sikumbuki kushtakiwa kwa kujifanya Usalama wa Taifa

    If you can't convince them confuse them.
  14. Mshawa

    Ole Sabaya akana kumfahamu Anna Mghwira wakati akimwapisha kuwa Mkuu wa Wilaya

    Kiburi kimjaapo mtu ndipo aibu hutokea. Vijana madaraka ni koti la kuazimwa muyatumie kwa uangalifu.
  15. Mshawa

    #COVID19 Hii hapa ni nafasi yako ya kuibadili dunia, itumie

    Chanjo hizi zinazotumika sasa ni zile zilizoanza fanyiwa tafiti wakati ule covid 19 inagundulika Wuhan na kwingineko duniani, tumeshuhudia wadudu hawa wakibadika na kuja kwa adhari na madhara zaidi ya yale ya awali, Mfano Delta na sasa Lamda je bado tuamini chanjo hii ni msaada tosha ama ni...
  16. Mshawa

    Kwanini Rais Samia unafanya maisha yetu Watanzania kuwa magumu hivi?

    Kichungu chapwaga bila Moto. Tegua kitandawili.
  17. Mshawa

    Nauza Ng'ombe wa maziwa kwa Tshs 2,000,000

    Kwa nini unamuuza ngombe anayeweza kuzalisha tsh elfu 30 kwa kila siku?
  18. Mshawa

    Taifa la waliokata tamaa maisha, ila hakuna namna mpaka mitano ikatike

    Kapanda daraja la Kijazi ama la Mfugale?
  19. Mshawa

    Mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu; nataka kumpiga risasi

    Mpe muda wako na umuoneshe upendo mfano fanya nae matembezi ya jioni ila hakikisha amevaa maski ya mbwa mdomoni ili asiwadhuru watu njiani. otherwise mtafutie jike. Kama huna muda wa kumfanyia hivyo mtambulishe kwa mtu mwingine amsoee kwanza ndipo amfanyie hivyo. Mwisho ukishindwa hayo yote...
Back
Top Bottom