Recent content by Mshawa

 1. Mshawa

  Wanawake, bao lenu la kwanza linachukuaga muda gani tangu uanze kugegedwa?

  Nimesoma uzi wote ina maana mmemaliza? Ushauri wangu Wanaume acheni kushindana na mlikotoka
 2. Mshawa

  Elimu Bure juu ya HIV ..nitajibu maswali serious, mzahaa sijibu !

  Nina maswali mawili. 1. Hii PEP au PreEP ni kidonge ama sindano? inauzwa bei gani? Ni kwa nini isiruhusiwe kutumika nyakati zote kwa minajili ya kupunguza maambukizi mapya? Hakuna kitu kisichokuwa na madhara hata kiweje serikali iruhusu hii PEP ipatikane kama panado ama condom watu waamue...
 3. Mshawa

  TTCL mmekuja kushindana na nani kwenye biashara?

  Ninaamini hii thread ni wakeup call kwao, ni wakati sasa watoke kwenye mbeleko ya mh. Jpm
 4. Mshawa

  UFAHAMU: Wale walinzi wa Rais ambao huwa wanabeba vibegi viwili huwa vina nini ?

  Alisema mshahara wake ni hautazidi milioni 9 kwa mwezi na kila kitu anachotumia/anachohitaji hupewa bure kwa garama za kodi zetu. Zile pesa pasi na shaka ni mshahara wake na Mungu atamuongezea na yeye ataendelea kugawa.
 5. Mshawa

  Muhimu sana,onja kabla ya ndoa

  Na alisha weka ni ya kuoa sasa amegutuka akaona awashtue na wana... Asante sana mkuu, ushauri wako ni wa kutilia maanani.
 6. Mshawa

  Hili ndilo limbwata la kumteka mwanaume

  4.Good sex 5.Attention
 7. Mshawa

  Hili ndilo limbwata la kumteka mwanaume

  Kwani kuna lingine dhaifu zaidi?
 8. Mshawa

  Ukiona karoho kanakuambia acha, piga chini nakuambia piga chini

  Kupanga ni kuchagua na kinyume chake ni sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Mshawa

  Wanaume wanahangaika sana

  Shule zimefungwa... Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Mshawa

  Kauli za Rais Magufuli akiongea na wananchi Njombe leo

  Mara ngapi tena.... Ni mwenyekiti wa bodi pale Sua Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Mshawa

  Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa.

  Ndege tayari, Standadi geji imekaribia kukamilika, flai ova ilee sasa Mzee baba Ongeza huo mshahara kwa 100% kama ulivyoahidi. Watumishi tuendelee kuchapa kazi Maendeleo hayana Chama. Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Mshawa

  RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

  Ni sawa ila siyo sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Mshawa

  Katika Kutongoza, tuambiane tu ukweli kaka zangu. Bila chuki wala nini mna fail sana

  Huna Njaa!!.. Nasisitiza unayo sanaa tena sanaa na tunaomba ulipie tangazo
 14. Mshawa

  Wanaume wa Dar wamewashindwa walimbwende hawa

  Kuoa/kuolewa/kuzaa/kutozaa sio sheria Sent using Jamii Forums mobile app
Top