Baada ya mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic kuweka wazi kuwa ataondoka klabuni hapo baada ya msimu huu kukamilika na kuhusishwa a baadhi ya vilabu ikiwepo Manchester United, Arsenal na Chelsea, zimetoka taarifa kuwa Man United wao hawajatuma ofa kumtaka mchezaji huyo.
Akizungumza na Sky...
Mimi nimefatilia kdogo nimeelewa kuwa kuna sukari ilikuwa kiwandani ndiyo ilikuwa ya vinywaji alafu kuna nyingine ilikuwa bandar kavu na hiyo ya bandar kavu ndiyo ya kwenda Uganda then Sudan
Kila mtu na uelewa wake, mm nilivyosikia nikuwa kuna sukar ilikuwa kiwandan ya vinywaji alf Makonda alivyoenda bandar kavu ndiyo akakuta sukar ya kwenda Uganda-Sudan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.