Recent content by Mshani de Orbital

  1. M

    Waziri wa Elimu atinga Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala

    Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa elimu bw kawambwa atinga kampala int university,ni mishale ya saa nne asubuhi hadi saa kumi na moja jioni,atumia masaa sita kuongea na utawala wa chuo na dk 45 tu kuongea na wanafunzi akidai anawahi uwanja wa ndege ana safari hoja yake ikiwa kwamba hakuja...
  2. M

    Kampala Int. University yageuka uwanja wa mapambano

    Mambo yamekuwa mambo, kampala hapatoshi....!,baada ya ustaarabu na uvumilivu mwingi sasa kauli ya MH. Pinda ya kwamba "WAPIGWE TU" yatekelezwa,polisi watumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kutawanya wanafunzi waliostaarabika na welevu ambao walikuwa wamejikusanya katika moja ya viunga vya...
  3. M

    Kampala University ufisadi hauelezeki, tusubiri uchunguzi wa Kamati ya Bunge!

    mpaka kieleweke msikubali hawa wapuuzi wanacheza na akili zetu..!
  4. M

    Kampala University ufisadi hauelezeki, tusubiri uchunguzi wa Kamati ya Bunge!

    Sasa hali ni tofauti katika chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala yabainika ujinga umefanywa na selikali kuu, ni baada ya bunge kuingilia kati, mengi yaibuka. Waziri wa elimu aropoka bungeni hoja yahamishiwa wizara ya afya mazito yaibuka bunge launda kamati na kuagiza kamati kuwasilisha taarifa...
  5. M

    Mafuriko na Ugeni wa Kimataifa wakwamisha hatima ya Wanafunzi wa KIU

    Kwanza niwape pole wahanga wa mafuriko yanayoendelea jijini DAR,tuko pamoja na Mungu yuko pamoja nanyi. Leo ilikuwa ni siku ya kujua hatima ya sakata hili la Kampala kama ilivyoahidiwa na serikali, lakini mnamo majira ya saa tano asubuhi mkuu wa wilaya alipiga simu kuwataarifu wanafunzi yakuwa...
  6. M

    Kampala Int University, hatima kujulikana kesho

    kesho jumanne serikali kupitia mhimili wake wa 'serikali kuu' itatia kambi kunako viwanja vya K.I.U-Dar branch kupitia mwakilishi wa kiongozi mkuu wa mhimili huo(DK Mrisho J.K) akiwakilishwa na bw. RYMOND MUSHI mkuu wa wilaya ya ilala,kutolea ufumbuzi wa kanjanja linaloendelea hivi sasa,mhimili...
  7. M

    Mgomo hatarini kuendelea Kampala Inter. University

    Serikali yashindwa kufikia muafaka kama ilivyoahidi kufanya hivyo baada ya wiki mbili, yadai jambo hili ni gumu kutolewa uamuzi na mtu au taasisi moja,wanafunzi watinga kwa mkuu wa wilaya ya ilala 6 may 2015 kujua mustakabali wao baada ya serikali kushindwa kutoa majibu ya madai yao kwa muda...
  8. M

    Kampala int un-serikali inatuangamiza......!!!????

    kampala siasa zimejaa.... hizi kozi nyingine hawaeleweki, hakuna taarifa za uhakika mfano medice wao wanaambiwa wanao usajili wa muda lakini hakuna oficial documents kudhibitisha, naweza sema wanajifariji kwa hilo hivyo hawashiriki kabisa na sisi, kwa upande wa medical lab na wao hivyo hivyo...
  9. M

    Kampala int un-serikali inatuangamiza......!!!????

    Ni wiki mbili sasa tangu kutulia kwa mgomo uliokuwa ukiendelea kati ya wanafunzi na chuo kufuatia kutokuwapo na usajili wa kozi za afya ktk bodi mbalimbali za wataalamu ikiwemo dodi ya wafamasia.Kutulia kwa mgomo huu ni baada ya wanafunzi hao kukutana na serikali yaani mkurugenzi bodi ya mikopo...
  10. M

    Hatima ya wanafunzi wa Kozi za Afya KIU kujulikana wiki mbili zijazo

    Hii ni baada ya wanafunzi wa kozi za afya kufanya mgomo uliodumu kwa siku 5, serikali yakiri kufanya uzembe ni baada ya kukutana na wanafunzi hao na kuwaomba kutulia kwa muda wa wiki mbili ambazo serikali imeahidi itakuwa imelifanyia kazi suala hili na kutoa majibu. Kwa sasa wanafunzi...
  11. M

    Kampala International University kuna mgomo

    Hali si shwari kampala,OCD azuia daradara zilizokuwa zimetubeba kuelekea wizarani,wanafunzi wazuia barabara,zaidi ya FFU 40 watawanya wanafunzi.hakuna aliyeumia,uongozi was juu wakimbia ofisi na kufunga ofisi za utawala. mpaka sasa wanafunzi wamezagaa maeneo ya chuo....wakisubiri uongozi wa...
  12. M

    Kampala International University kuna mgomo

    Mi ni mwanafunzi wa kinachoitwa 'chuo kikuu cha kimataifa kampala' chuo hiki kwa kushirikiana na TCU kwa pamoja wamewalaghai watanzania...., kwanza T.C.U Wamewezaje kusajili wanafunzi zaidi ya 650 kujiunga na kozi za afya (b.pharmacy,b.medicine na b.medical lab) kana kwamba taasisi zote za nchi...
Back
Top Bottom