hahaha usifanye ikawa seemu ya kulumbana sawa najua kuna Milne kuteleza sawa na nyingine ni vfupi vya maneno sawa 4now naitaji mpenz coz ni mdamrefu sawa mpaka najiisi nipo tofauti na binadam wenzangu
naish dar nimekulia dar nimesoma dar na naishi dar co kuwa nimekosa dem ila kumpata unao mwitaj n mtian na dar nkubwa kama unavojua so naweza tangaza umu kumbe yupo nae anae itaji ikawa raic kumpata nazan mtakuwa nmekujibu
naamin mapenz ni kipinz kifup cha mwili na czana kama yanafaida yoyote xoz mm nauwezo wa kukaa miaka10 bila demu wqla kufanya mapenz kama sas natimiza mwaka wa9 cjawqi kufanya mapenz na cna tatzo lolote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.