Recent content by mshaija8792

  1. M

    Baada ya kusubiri sana hatimaye

    Nimesubiri sana na sikukata tamaaa hatimaye malengo yametimia na ajira nimepata sehemu nzuri itakayonijenga sio kazi mradi kazi muuangalie na kazi zitakazowafikisha mbali. Thanks God for everything
  2. M

    Tigo Graduate Management Trainee

    Haya kwa wale fresh masters graduates inawahusu hii. Experience less than one year hawataki experience hawa uwezo wako tuu. Na kama una experience hata usijisumbue ku apply. They are looking for young future managers.
  3. M

    Natafuta Msichana from 30-35

    I'm 26 years of age ila kisiwe kikwazo coz umbo langu ni zuri na la kiutu uzima. Sijisifii ila navutia kweli kweli huwa naambiwa hivyo. Nataka mwanamke wa kudate nae tu i dont want a serious thing. If u are interested ny email is mshaija8792@gmail.con
  4. M

    Tanzania Leaf Tobacco Company

    Oi kama kuna watu walipiga interview mwishoni wa mwezi wa tatu morogoro nafasi ya graduate trainee Tanzania Leaf Tobacco Company, vp jamaa wameita. Mi nilipiga ya written..mwenye info adodondoke
Back
Top Bottom