Recent content by msemakweli wa pili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo ni mmoja ya wana CCM waliokopa Twiga Bancorp?

    Erick shigongo. Kutoka kuimba mapambio had mlalamikaji. Historia ni mwalimu mzuri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo ni mmoja ya wana CCM waliokopa Twiga Bancorp?

    Erick shigongo toka kuimba mapambio had kuwa mlalamikaji. Tutayaoma mengi mwaka huu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuleteeni huyo Rais Magufuli tumwambie ukweli

    Ajira ajira ajira ajira ajira ajira kwa wahitimu Promotion promotion kwa watumishi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mchungaji amuonya Lema, atumia maandiko ya Biblia

    Kwa kweli hawa wachungaji na viongozi wa dini wa namna hii ni mjanga na wakemewe kwa nguvu zote. Haiingii akilini kutetea uovu anaofanyiwa Lema na jeshi la police. Mnyonge mnyonge Ila Hali yake mpeni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Posho na marupurupu sasa kudhibitiwa

    Hivi Yale malipo maarufu sana katika sekta ya uma yanayokwenda Kwa jina la HONORARIA na yenyewe ni posho? Du Shikamoo JPM.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM asili inamuandaa mgombea wake 2020

    I cannot see kundi ambalo linaweza kumzuia Magufuli asirudi for the second term. Believe me no one has that courage inside ccm.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Hongera mh. Lusinde MP
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli uzinduzi wa hosteli Chuo Kikuu Dar Es Salaam (UDSM)

    This event has come right on time. Hizi kelele nyingi kwamba serikali imeshindwa kuwapa mikopo wanafunzi elimu ya ju mwisho wake ni leo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Misungwi amdhalilisha mwalimu mbele ya wanafunzi wake

    Hakuna rangi ambayo hatutaiona mwaka huu it was very unfair to that teacher. CWTshould act on this
  10. M

    JamiiForums Tanzania DC wa Manyoni aanzisha kodi ya kichwa na kodi ya mifugo

    Big up DC for being creative. Tumedbubutu, tumeweza na tusonge mbele. Hakuna mKenya wala mGanda wala muAmerica atakaekuja kuchangia maendeleo ya TZ isipokuwa sisi wenyewe. If I were the appointing authority I would promote this DC.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu ndugu yetu Mh Humphrey Pole Pole..

    Mwacheni Mheshimiwa DC ufanye kazi. Hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!

    Mkuu wa kaya keshasema hawa akina msukuma ndio mabosi wetu
  13. M

    JamiiForums Tanzania GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!

    Mbona mnasahau haraka sana? Mtukufu na Mkuu wa kaya alishasema hawa ndio mabosi wetu
Back
Top Bottom