Bei yake ni bei nzur tu!! If kama unajuwa nni maana ya kuwa na afya bora...na siku zote kinga ni bora kuliko tiba. So kama ukiwa na kinga za mwili zikiwa juu maana yake utapunguza magonjwa kukunyemelea
1. NI KIRUTUBISHO MUHIMU SANA KUTUMIWA KILA SIKU KWA AJILI YA KUSAIDIA MIFUMO YOTE YA MWILI ILI KUUPA MWILI UWEZO WA KUFANYA KAZI VIZUR ZAIDI.
2. INASAIDIA MFUMO WA KINGA YA MWILI; KUTOKANA NA NITRIC OXIDE AMBAYO INATUMIWA NA CHEMBECHEMBE NYEUPE ZA DAMU KUUA BACTERIA. HIVYO KUUPA MWILI UWEZO...
Acha ujinga wwe...wwe kungekuwa na hata hizo shule kama nchi isingekuwa na ulinzi wenye vifaa vya kutosha na vya kisasa....Na hvi mbona unapokaa unaweka mlango tena imara wenye kofuli au kitasa cha kisasa kwanza kabla hujanunua hata kijiko kuweka ndani, Au ukiwa unauwezo unaweka mpaka ukuta...
Kwa Couples I mean Men & Women....nikwaajili za nguvu za kiume kwa wanaume na nguvu za kike kwa upande wa wanawake. Zipo bomba sana na ufanyaji kazi wake ni uwakika zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.