hizi ndizo akili zako, tukisema mnatumia makalio kuwaza mnabisha, huyu aliyeleta mada ameteka ufahamu wako na wewe bila kujua unachangia upuuzi, wakati mwingine bora ukae kimya ili tusikulinganishe na wapumbavu.
We punguani watu tumesha acha kuangalia TBC1 hilo ni danguro la ccm, hawawezi ikosoa ccm jambo ambalo ni baya sana. Pili, mahakama za Tanzania hazina uwezo kisheria kutoa maamuzi juu ya sakata la ESCROW kwasababu mkataba ulifungwa chini ya mahakama ya kimataifa ya biashara, na hawa ndiyo...
ni kama ccm imepata 74.55% ikiwa imeporomoka kwa 18.15% na upinzani ukipaa kwa kupata 25.45% hii ni pamoja na mapingamizi ya ccm, sasa ukitoa mapingamizi ndiyo ccm inapitwa kabisa, huyu mwanadiwani ni vuvuzela huwa hajui kitu ni kushabikia ccm bila kutafakari,ccm mmeporomoka hautaki wewe mbishi.
Wewe hauna lolote,bora Nape, Kinana na Mwigulu ambao wameishutumu ccm ngazi ya juu waziwazi kuliko wewe bendera fuata upepo. Wewe kila kitu unaisifu ccm na kuponda upinzani hata kama wamefanya vema, ebu fikiri mwaka 2009 mlipata 92% ccm,leo hamjaipata na mitaa na vijiji kibao mmepokonywa bado...
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu; wewe mwanadiwani kubali kuwa mwaka huu UKAWA wamewabana, sasa kama mwaka 2009 mlikuwa na 92% leo pamoja na kuweka mapingamizi hamkuipata hiyo % unajivunia nini kama siyo upumbavu? Acha kubisha vitu halisi wewe wapongeze UKAWA yaishe vinginevyo tutakutukana...
Unabaati sana, yaani ungetaja unako toka ningekutafuta ili nikunyonye damu, zimwi mkubwa nina hasira na nyie,ccm hamtufai na hamsafishiki ninyi ni wezi. Onesha matokeo ya 2009 ya hilo jimbo kama unayo hapo ndiyo tukuamini, nyumbu wewe.
wewe ni mzigo hapa jf, kama siyo gunia la misumari basi ni mtondoo wa mahabusu, yaani mahali kama Sengerema mmechapwa kipigo cha mbwa mwizi halafu munamfukuza mkurugenzi mnamaaniosha nini? Ama kweli mwanadiwani ni mzigo hapa jf.
wewe mwanadiwani wacha kujifanya hauelewi, Sengerema mmeshindwa vibaya,sasa huyo mkurugenzi alikosa nini? wewe ccm wanapta kura 47 na upinzani 358 unambebaje huyo mtu? mmewaonea bure hawa wakurugenzi, mfukuzeni wa Ilala na Kinondoni ambao wameshindwa kufanya chaguzi kwa kukosa au...
kesi ya mbuzi kwa hakimu fisi, mwanadiwani wewe ni maji taka, ccm hamna jinsi mtu unavyoweza kuitetea, hawa wkurugenzi walipewa agizo wahakikishe kwa gharama yoyote ccm inashinda ila kiukweli ccm imegaragazwa ndiyo maana wametemwa,sasa nauliza mtu wa ccm amepata kura 17 na wa upinzani 17500 je...
wewe ni zimwi kamwe hamtaweza kututenga na mabadiliko, mlisema CUF ni chama cha udini na kweli mkatushinda leo mnasema CHADEMA ni cha wachagga ila ukweli ni huu; ccm mmepigwa chini maeneo mengi na wenye CHADEMA ni wale wanaoshinda huko mtaani, wewe undoa upimbi wako huku jf.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.