Wananchi wa wilaya ya namtumbo wamekosa Amani ya kurudi kwao Kwa hofu ya kiongozi wao au mbunge wao kuwanyima Amani
1.kiongozi huyo anatunyima Amani watu wazawa wa wilaya hiyo amekuwa akitunyanyasa tunashindwa hata kufanya jambo la kifamilia kwahofu ya huyo mbunge kutuma watu wake na kuleta...
Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI.
Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.