Hivi Jumuiya si alianzishwa kuelekea Oktoba, ni jumuiya iliyokusanya wanafiki na wajinga wakuu "Viongozi" wa kidini kusudi waeneze propaganda na ujinga kwa wafuatao wao kusudi mafisadi yaendele kutawala.
Hiki ndicho utawala unajaribu maana unafahamu uhalali wake umefika mwisho toka 2015 hivyo wanajaribu kununua muda na kuja na mpango ikitokea wameondoka madarakani basi wabaki kwa njia mseto.
Ndiyo maana Humphrey Polepole alisema maridhiano ni kabla ya uchaguzi, baada ya uchaguzi siyo maridhiano...
Hapana! Utakuwa aidha unatumia usafiri binafsi mara nyingi ukiona watu wanaongeza barabarani na kutabasamu unasema mambo yako sawa. Au utakuwa upo kwenye circle ya utawala huu kila aliyekuzunguka anasema mambo yapo sawa na ni mazuri.
Mtaani watu wana maumivu na chuki kubwa iliyopitiliza na...
Wananchi walisema mwanzo hata kabla ya uchaguzi kuhusu matukio ya kiusalama na utekaji, kupotea na mauwaji ya watu.
Wananchi walisema na kupiga kelele maliasili, kodi na rasilimali zao kutumika vibaya kuuzwa uarabuni na watu waachane kujinufaisha mfano; Makaa ya Mawe.
Wananchi walisema na...
Abdul Ameir Kiongozi Mkuu wa Idara ya Usalama asiye rasmi ni shoga, ikumbukwe huyu mtoto wa kiongozi wa utawala hii na mmoja wa washauri wa karibu wa mtawala huyu ni Balozi na ni Shoga.
Haya unayoyaona yanazo baraka kutoka katika regime hii, utashuhudia mengi sana katika hili kipindi cha...
Raia
Shirika la Mawasiliano kupitia huduma zake za Faiber kwa siku mbili ya Ijumaa na Jumamosi limeshindwa kutekeleza majukumu yake ya msingi na makubaliano ya utoaji huduma kwa wateja wake katika maeneo kadha wa kadha ikiwemo Kigamboni na Temeke bila taarifa wala hawapokei simu.
Kwa sasa...
Abdul Ameir ni shoga na uthibitisho upo kwa Tweets zake za Twitter zilizoonekana mwanzo wa mwaka huu, sijui kwa nini watu wanasahau sana kiwa Abdul mtoto wa Samia ni Shoga.
Balozi Dkt. Lazaro Nyalandu – Mshauri Maalum wa Samia ni shoga. Unategemea utawala huu utahukumu watu wake?
TUJITEGEMEE
Sawa! TUJITEGEMEE
Je ongezeko la billion 100 kwa uwanja huo ambao ni nusu ya uwanja wa Benjamin Mkapa ni sahihi?
Ilitakiwa kwa ongezeko hilo uwanja huo wa Arusha uwe na idadi sawa ya kuingiza mashabiki sawa na Mkapa Stadium?
Umemaliza kupiga hesabu je imekemea ubadhirifu...
Kauli za danadana unazotumia hapa ni za hovyo!
Gerson anao uadilifu gani? Mabosi wake ni wapi? Kwa umri wako hujui Katibu wa Wizara ndiye bosi wa wizara husika?
Sababu zilizopelekea watu kuandamana kudai haki zao na mifumo bora jumuishi ni pamoja na:-
- Wizi na ubadhirifu wa fedha na mali za umma. Mfano; Kombo, Angela Kiziga, Abdul Ameir, Hamisi Mwinjuma, Fatma Mwassa na wengine wengi.
- Mauaji, utekaji na upoteaji wa watu hasa walioshauri au kukosoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.