Hizi ni kauli za padre anayesema, fuata maneno yangu na usifuate vitendo vyangu. Nani ndio baba wa commonwealth? Yeye afanye makosa ni sawa na wala tusimhoji, nawe unakubali hilo. Halafu hiyo nchi ndio iwe kiongozi wako.
Wanaokwenda kutibiwa huko wanalipa, biashara haina adui - toka east mpaka...
Marekani haikujiunga na Commonwealth, unajua kwanini? Uingereza chini ya Tony blair ilipoanzisha vita na kuua raia wasio na hatia haikuvunja makubaliano ya Commonwealth na Geniva convention? Wameshtakiwa wapi?
Acheni uchawa kwa mabeberu, hamtafaidika chochote.
Beberu hakusaidii hata siku moja wewe muafrika. Sijui akili zitawafika lini, ili muondokane na ukoloni mambo leo. Nawasikitikia sana. Kaishini Ubelgiji kama hao mabeberu ni jibu.
Hahahahaaaaaa! Yangu macho na masikio. Narudia, Kitachowasalimisha CHADEMA kutoka katika ujima na mazungumzo......Maridhiano. Vinginevyo CDM imekufa.
Muda ndio jibu. Kama hukumuelewa mtoa hoja, muda utakuwa jibu sahihi.
Mpaka mwisho wa dunia, kamwe Lissu hawezi kuwa Rais wa TZ. Kinachowezekana ni kuifuata familia yake Ubelgiji. Na ile hadhi ya ukimbizi aliyeomba imeshaiva, kapatiwa tayari. Yeye ni kusepa tu huko.
Alshasema toka zamani kuwa ukinizengua.... nami nakuzengua...... Kwani hamkumuelewa. Kwanini mna vichwa vigumu. Ndio maana mlituma vijana okt mkidhani anatania. Na bado mnataka kurudia tena, wakati alishasema nyie njoeni tu mimi..........
Kwenu peponi ni kwa wafadhili wenu, nje huko west na marekani. Waliomuangusha Gadafi waliterajia hivyo, lakini mpaka leo toka 2011 wameshindwa kufikia hata robo ya aliyoyafanya Gadafi wakati wa utawala wake. walichokiweza ni kumuua mtoto wa Gadafi - Salif Gadafi kwa kuwaahidi nchi ya ahadi...
Kuanzia Feb7, Kitima na Lissu wamefungwa mikono yao, midomo yao, miguu yao na kila baya wanalolifiria juu ya ikulu lisifanikiwe. Huyu Askofu kapigilia msumali wa chuma kikali.
Taifa limeshaamua, uchaguzi 2030. Unataka waamue nini tena. Sema wewe umeamua uchaguzi mwaka huu. Ingekuwa rahisi kama hivyo, hata mimi nilitaka na kuamua kuwa mbunge mwaka huu na ingewezekana...Hapana. Mchezo hauendi hivyo! Rudi tena jikoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.