Chief Mkwawa unaonekana una ubishi wa kifacebook humu JF kabla hujatoa hoja tafuta facts kwanza. ukiona watu wote hawakuelewi ujue umezingua cha msingi remove thread zako uokoe jahazi la heshima yako.
Kama pia unafkiria kuwagawa watanganyika na wazanzibar kwanini uone si sawa kuwagawa waunguja na wapemba yote hayo ni ubaguzi tu. Au unaona mkuki kwa nguruwe kwa binadam ni mchungu
Serikali ya CCM inapenda sana kupeleka mambo kimzaha mzaha, kabla ya kuanza
kusanya maoni ya katiba mpya walipaswa kukusanya maoni ya muungano (usiwepo au uwepo kwa muundo upi) hayo tuliwashauri lakn wakayapuuza leo sasa wengine wanautaka, wengine hawautaki kabisa, wengine wanataka uwe na...
Dada acha dharau kuwa na kauli nzuri watanganyika wote waliopo znz wanauza vinyago??? Acheni mambo ya kibaguzi tatizo huwa hamjifunzi kutokana na makosa waliyofanya nchi za wenzetu. Kuweni na mtazamo sahih na si kutanguliza maneno ya kashfa na kibaguzi. muungano unahitajika sana kulinda maisha...
Kwanza nashkuru kwa kukiri kwako na hiyo tu imedhihirisha nilichokisema sikuropoka. Pili wewe una shida hata kama shekh anakosea we unaitika na ndio nyinyi wavivu wakutafuta ilmu mnaona kama mtakuwa mnakufuru mkichimbua mmambo kw undani. We unasema kwa kuwa halikukugusa tofauti hizi za kibaguzi...
Ni shida sana kubishana na mtu anayetoa maoni kulingana na alivyosikia na si anavyojua. Yaani alisikia kwenye mihadhara ya masheikh kuw hakuna mzanzibar aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje.
Lakini pia mkumbuke utafika wakati wapemba sasa wataanza kutaka chao Zanzibar hapo ndipo...
Nyinyi ndo mna matatizo ushauri wenu hauna uhakika na pia ni nusu nusu kwa mfano huko juu mlimshauri hivi
akishakula hivyo vitunguu swaumwu "Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi
kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo
hakuna tena na fungus wote wamekauka!
Kwisha kabisa!!!!" haya yey amekaa...
Kweli wewe mtu umefikiria na kutulia uzito kila kinachofanywa na pande zote. Kitendo cha kuwa na timu ya taifa la Tanzania bara maana yake kumbe Tanganyika ipo
Huu si wakati wa kujibizana na kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii huu ni muda wa kujenga na kuimarisha miundombinu ya chama ili kuikomboa TZ 2015.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.