Recent content by MSEKE MWEGOKE

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    U Kama vile umenena vyema Kiongozi kwakweli kwa upande wa uwazi na haki wako poa sijajua anaongelea kwa mlengwa gan
  2. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Seeh mda mwingine tunawasonda kidole PSRS, lakin kumbe kuna maujanjajanja yanafanyika kwa idara husika kwa kuchelewesha response Utumishi ili waonekane hovyo kwa jobless.
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah Pdf kipisi unachungulia nn sasa cjui anabakiza ili wanavolipwa kila baada ya kusaini. Ila awaju jobless tunavoumia aisee.
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahaha umeme unakatika kama tochi za kuchaji za mchina.
  5. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umetisha mkuu wazi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umenema Kiongozi
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Duuh matusi hayana msaada wowote mkuu kikubwa ni subra tuuh na uvumilivu ila daaah 😭😭
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ko unaona izo Taasisi zipo perfect au ndo maozo Tu kwa job seekers.
  9. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Duuh ongera dgo kutoka Kwenye ukata mkali😅
Back
Top Bottom