Tuliangalie hili suala, kilio cha kila upande tutakiballance kwa serikali moja au yetu, serial I mbili haitatoa maelezo ya kuridhisha ni wapi inafichama Tanganyika yetu, na hapo ccm haitolei ufafanuzi wapi itakuwa hatima ya Tanganyika, kama serikali tatu ni vigumu turudi kwenye seriksli moja...