watu wengine wanachekesha kweli, hilo gazeti linaitwa Raia tanzania na halina uhusiano na ccm ni gazet la jenerali ulimwengu ambae hata ukisoma makala zake nyingi sana hua anamsifia lowasa kimtindo, ila tu la msingi ni kwamba amewapa uhuru waandishi wake. kama huo ushahidi uliowekwa hapo ni wa...
Unachekesha kweli ndugu, kamwe unajisumbua ukikaa ukawa na hisia kwamba UKAWA wataingia madarakani.
Kwa timu ipi hasa walionayo ambao ina uwezo wa kuongoza nchi?. Hawa kama wanakimbia na kama walikua wanakwepa kodi, basi ni lazima watakua wameshaona anaeingia ikulu ni yule ambae ana nia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.