Recent content by Msambaa mkweli

  1. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hapo ilikuwa wanajeshi wa Ukraine wanavishwa midani.. Mzee Baba Putin alipata hizo hqbari akaachia kitu. Waliofanikiwa kutoroka Kurst bado hawako salama.
  2. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Zelensky says he is ready to resign Ukraine’s leader said that he is ready to step down if it means end of the conflict with Russia. Hali tete kwa uongozi wa Zelensky🤣🤣 Source RT Lives.
  3. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    The adults are in Riyadh after the kids played in Paris. Dunia inaenda speed sana... Ura.
  4. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    "Oreshnik" ura ura, toka russia atumie Oreshnik, alituma ujumbe mkali sana kwa nchi za West na Amerika, hii vita haina budi kuisha maana ni wazi kuwa Russia huwezi kumshinda kwa njia ya vita. URA URA..
  5. Msambaa mkweli

    USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

    Kiongozi hakuna cha bure.. huwa tunapigwa sana.. free aid... ni usanii mtupu... Loliondo imeenda.. wamasai wanaondolewa... Ukitaka kula Ukubali kuliwa...Alisikika akisema...
  6. Msambaa mkweli

    USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

    Kukopa na kulipa kupitia madini adimu yaliyopo kwenye Taifa lako😀😀😀 alisikika akisema " Ukitaka kula Ukubali Kuliwa"
  7. Msambaa mkweli

    Ramaphosa kamjibu Trump kwa busara lakini sio kinyonge, ngoja tuone comeback ya babu Trump. Pameanza kuchangamka!

    "The US remains a key strategic political and trade partner for South Africa. With the exception of PEPFAR Aid, which constitutes 17% of South Africa’s HIVAids programme, there is no other funding that is received by South Africa from the United States." 😀😀😀 Dunia imechangamka.
  8. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ha ha ha ha... nimeipenda hii... Putin the Great. Let them determine some target for destruction, say in Kyiv, concentrate all their air defence and missile defence forces there, and we will strike there with Oreshnik and see what happens. "We are ready for such an experiment, but is the...
  9. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    1. Speed ya chuma ku hit target ni noma. 2. Chuma imepenya kwenye bunker... hawaamini kwa sbb walijua wapo salama huko chini ya ardhi.
  10. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwani na nyie si mritamba ns long range za kupewa msaada😀😀😀 kula chuma hicho.
  11. Msambaa mkweli

    PreGE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Adui wa Rais yupo naye karibu sana. Na kwa jinsi ninavyo ona wanafanikiwa lengo lao. Anaonekana kuumia... Hapo anahitaji support kubwa ya wananchi.. hao viongozi wake bado support yao ni ndogo sana...
  12. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    ha ha ha.... Trump kuna muda anafurahisha sana.. japo anaongea facts.
  13. Msambaa mkweli

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kiongozi, kuna kitu kinaitwa Dead Hand.. ni noma hata kama Russia wote wafe.. Mataifa ya Nato hayapo salama.
Back
Top Bottom