Recent content by msaleghe

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza ukapenda alafu ukawa hauna hisia za kimapenzi na huyo mtu?

    hahahahaaaaaa! huyo jamaa yako muhuni alitaka tu kunaniiii na kusepa!
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!

    mm ninadhan anaye kuwa na uchungu na ww anapenda uwe kama yy kama anatabia nzuri na anapenda usiwe kama yy kama anatabia mbaya, sijawahi sikia kaka anachukia kama dada yake anaolewa ila anachukia dada yake kama anachezewa ingawa yy anachezea wa wengine!
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii nimeshindwa kabisa, nipeni maujanja!!!!

    duh! hapo naomba nijitoe mpak kwenye kukata gogo,hata kama mnapendana kwenye shida na raha! hapana, raha zingine ni za mmojammoja si lazma muwe wote!
Back
Top Bottom