Rudi shule kaka utazipata na wewe upate mtaji ununue kiwanja ujenge nanyumba sindohuwa malengo ya wanafunzi wanapoomba mkopo ila ukishapewa zinapitaga kama upepo
dah bro umeongea ukweli mtupu apa kunauzembe unaofanywa na watumishi wahiki chuo madhara yanabaki kwetu. hata kufelishwa apa nikawaida chuo nikigumu sana iki. serikali inabidi ikitizame kwa jicho la tatu kwakweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.