Unawaza kisengele nyuma kama kada wa CCM.
Makachero wa M16, Mosad au Scotland Yard kamwe hawawazi kinyonge namna hii.
Watu mnawaza kifukara mpaka tunashindwa wapi tuanzie kujibu hoja zenu maana hoja zenu ni dhaifu mno hata ukizilaza taratibu zinasambaratika. Na kwa kawaida tunajibu hoja zile...
There is never a stupid question.
Never.
But always there are stupid statement,stupid quotation and stupid words. One of the most stupid thing is to respond "Rubbish" to a question or questions.
Haaa haaa haaa haa
Kwa nini Tundu Lissu katika risasi 32 zilimpata 5 tu?
Kwa nini?
Kwa nini Tundu Lissu hakupigwa risasi hata moja kifuani?
Kwa nini?
Kwa nini Tundu Lissu hakupigwa risasi kichwani?
Kwa nini?
Hebu fikiria wale jamaa nilio watuma ni professional KILLERS lakini hakuna risasi ilimpata mahali...
Ni kwa mkono WA Mungu amepona.
Lakini.....
Who wants Tundu Lisu dead?
Magu.
Nani ana donge la kufa MTU na Tundu Lissu?
Magu
Hatumung’unyi Tena.
Magufuli anahusika Moja kwa Moja na jaribio lililoshindwa mbaya la kumuua Tundu Lisu.
Magufuli ZHe KEllEr
Hii ni taabu ya mazoea ya kunyonga na kunyofoa kichwa.
Kama unaizimia China si ungewish wewe ungekuwa huko ili ufaidike na kunyongwa!
Au ndiyo maana serikali inajaza wachina ili siku moja wawe wapiga kura wenu muweke mambo kaa China?
Kuwaza kwingine ni shida.
Victim namba moja wa Magufuli ni CCM.
Katibu Mkuu wa CCM yuko chini ya ulinzi tangu Magufuli aliposema katumwa India kutibiwa,labda ukiwa Rais ndiyo unaweza kumtuma mtu kutibiwa?hata sijui.
CCM imesambaratika kuliko Chama chochote Tanzania kwa sababu imeingiliwa na Maharamia kupitia Mlango wa...
Aka!
Andika sala yako mwenyewe kisha umtaje huyo Mungu wa Dunia hii uliye mwandika hapo juu.
Ukristo ni personal relationship yangu na Yesu, Who are you between me my faith and my Jesus?
Katika Jina la Yesu kristo wa Nazareth.
Zile risassi zilizo mkosa Tundu Lissu nazifinyanga upya katika ulimwengu wa roho na kuzirudisha kwa kila mmoja kwenye meza iliyotumika kupiga mchoro wa kumuua Tundu Lissu.
Risasi hizi zirudi kwao kwa mwendo uleule nia ileile na kuleta madhara...
Moja yaManatumizi Mabaya ya sentensi za kiswahili
”Watu wasiojulikana ”
Utalisikia Neno Hilo hata pale video ya mhusika na jina lake vikiwekwa hadharani.
Nafunika vinywa vya viongozi wote Tanzania kwa Damu ya Yesu
Hats Nyerere hakuua wazungu ili hoja zake zikubalike. Huyu mwenzetu vipi kulazimisha hoja zake kwa risasi?
Bombadia wee nakupenda sana nipo tayari kuua kwa ajili yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.