Recent content by MsakaGamba

  1. MsakaGamba

    Mke wa Slaa: Hatuna Shida ninafikiria kujenga Shule na Hospitali

    Dr Slaa ninaye mjua amekuwa anaishi kwa kukopa akiwa katibu mkuu wa chadema. Amekuwa mkopaji mzuri sana kwa jamaa mmoja anaitwa Erasto Tumbo ambaye ana taasisi ya kukopesha. Cha kushangaza leo anadai wanataka kujenga shule na hospitali tena kutokana na michango ya marafiki. Marafiki hao...
  2. MsakaGamba

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Umenena mkuu tatizo huyu mama anakera sana. Ana malengo yake mfukoni dhidi ya Dr Silaa na anaona ni lazima yatime kwa njia yoyote ile. Asipoacha ujinga lazima tumnyookee asiturudishe nyuma
  3. MsakaGamba

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Ukweli ni kwamba Josephine ni tatizo kwa Dr Slaa, kinachoendelea sasa ni kwa sababu mzee wetu ameshashikwa na hawezi kujitoa tena lakini Kingekuwa na Sheria ya watu wa nje kutenganisha ndoa/uchumba basi hii ya Dr Slaa ilipaswa kutenganishwa. Najaribu kufikiria kama Dr Slaa anaenda Ikulu na...
  4. MsakaGamba

    UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

    Kwa namna mazungumo yanavyo endelea ni dhahiri kwa namna yoyote ile mgombea wa urais kupitia UKAWA atatoka Chadema. Vigezo 1. Chadema ndio chama chenye mtandao mkubwa uliopenya mpaka Vijijini kwenye ngazi ya msingi miongoni mwa vyama vyote vilivyo katika ukawa. Hakuna ubishi kwamba baada...
  5. MsakaGamba

    Mbunge wa viti maalum (CHADEMA), Phillipa Mturano yupo mbioni kutimkia CCM

    Chadema ina bahati mbaya sana watu kutoka Kigoma sijui tatizo ni nini kwa watu hao?! On hii historia. 1. Walid Kibour huyu alikuwa katibu mkuu wa chama tena aliye rudishwa nyumbani na kina Mbowe na Ndesamburo tokea USA ili aje agombee jimbo la Kigoma mjini. Akawatenda Chadema sasa hivi...
  6. MsakaGamba

    Aliyempigia debe Uhuru apata kandarasi ya mgombea wa Tanzania

    Kwa statement hii tu huyu dada hajui anakuja kufanya nini na inawezekana huyo upara mdogo hajamuambia UKWELI kuhusu Bongo na uchovu wa watu dhidi ya serikali ya Makamba aliye tuletea sheria kandamizi ya habari na mitandao hivi karibu. Msome hapa "...Nigerians said no to corruption and...
  7. MsakaGamba

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    Mkuu aminia. Huwa nikiona umetia mguu najua nitaondoka na madini! Deo Meck yuko China anaandika matamko ya kijinga. Tumekuwa wapole sana! Tuna nyanyapaliwa as if sisi tumekosa nguvu ya kwenda peke yetu! Tumehitaji Ushirika na wenzetu wao wanawaza majimbo bila hata ya kuwa wameyafanyia kazi...
  8. MsakaGamba

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    Mkuu hii mijamaa ni mijinga mpaka leo Chadema tuna mikutano zaidi ya 480 tangu kuanza kwa Mwaka na bado Dr Slaa na Salum wako field wanajenga chama. Wao wanataka wapewe mezani kama mgonjwa aliyelazwa hospital. Hatutaki huo ujinga kama wanataka kusepa walipaswa kuondoka kabla ya jana...
  9. MsakaGamba

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    Huyo Deo ni mjinga! Nyambambe alipewa milioni 20 na chama aende Serengeti kujenga chama na kushinda kwenye uchaguzi wa SM bado akarudi na kitongoji kimoja na Chadema ikazoa vijiji, vitongoji na Mitaa lukuki. Yaani leo wanataka wapewe jimbo kama zawadi kama jinsi yeye anavyotaka apewe Tarime...
  10. MsakaGamba

    Mkutano wa Dr. Slaa wafunika tena kanda ya Nyasa mkoa wa Rukwa

    Chadema ni mpango wa Mungu. Kazi kwao washirika wa ccm na vibaraka waliopewa kazi maalum na ikawashinda
  11. MsakaGamba

    Tweet za vijembe kama hizi ni hatari

    Chama chenye viongozi walozi ni tabu tupu
  12. MsakaGamba

    Mkutano wa Dr. Slaa wafunika tena kanda ya Nyasa mkoa wa Rukwa

    Mkuu yale mjamaa yana roho ngumu kama jiwe. Huwa yanauona ukweli lakini bado yanakuwa busy kupotosha.
  13. MsakaGamba

    Mkutano wa Dr. Slaa wafunika tena kanda ya Nyasa mkoa wa Rukwa

    ccm ndio watafanya hivyo maana lile lichama wako kama wachawi. Hawataki watu wajiandikishe lakini wanataka washinde uchaguzi
  14. MsakaGamba

    Mkutano wa Dr. Slaa wafunika tena kanda ya Nyasa mkoa wa Rukwa

    Ndio maana huwa kinasimamia misingi. Chadema ni muunganiko wa jasho, damu na maisha ya watu. Ni mpango wa Mungu ndio maana hata hila za kuifuta kwa kesi za ugaidi na ndoto za kina Wasira zimeshindwa.
  15. MsakaGamba

    Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    Hawajalipwa mkuu si unajua Ruzuku inachelewa na huwa hawaji hapa mpaka walipwe kama anavyofanya Lowasa, hawezi kuhutubia bila kununua watu
Back
Top Bottom