Elimu ya pesa na uwekezaji inapaswa kutolewa ili kupunguza tatizo hili,afu na kingine bei za mazao zinamnyonya sana mkulima kwa sababu wanaonunua ni middle men wasio na huruma kwa mkulima.
Ni kweli na hii ni kwa sababu umakondeni hamna mazingira wezeshi ya kufanya uwekezaji,hivo bhas watu wakipata pesa wanaukimbia mkoa .Nafikiri kama mkoa ungekuwa na miradi mbalimbali ya maendeleo bhas watu wengi wangevutiwa na hiyo mikoa na wamakomde pia wangejenga na kuwekeza kwao.
Matumaini yangu ni wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza kabisa nianze kwa kuisifu,eeeh bhanaa hamna mikoa mizuri hapa Tanzania [emoji1241] kama mikoa ya kusini hasa hasa ile iliyopitiwa na bahari yaani MTWARA na LINDI sijajua hata tulikwama wapi kuifanya iwe kama Istanbul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.