Recent content by Msafiri456

  1. Msafiri456

    Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

    Kweli. Wanaposkia accent wanaamini mwanamme in mzuri. Huku Kenya walikuwa wanaolewa na Wanigeria Wahuni wenye ni majambazi hadi Waziri wa mambo ya ndani akaweka sheria. mwanamme hawezi kuwa dependant wa mwanamke kwa ndoa, itabidi wapate work permit na residency kama wengine hata kama wameoa...
  2. Msafiri456

    Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

    Huku Kenya huwa tunasema Mkikuyu ni 'moto ya kuotea mbali', hata wanaume wao huwashuku sana.Ukitaka kuoa huko kuwa na makini.
  3. Msafiri456

    Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

    Naelewa wan awake ni wale wale lakini wanaotoka maeneo mwingine ni wazuri kidogo kuliko wengine.Huku kwetu waKenya wanatoroka wan awake kutoka maeneo ya kati
  4. Msafiri456

    Wanawake wa kitanzania wana tabia zipi kwenye ndoa?

    Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania. Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent...
Back
Top Bottom