Recent content by MS Junior

  1. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

    pole aisee....kwangu wamechemka kwani nimepata taarifa zaidi tayari humu....
  2. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

    Ahsante sana Mkuu kwa kunifumbua macho. Nimepata ufafanuzi mzuri sana Naona hawa jamaa imekula kwao sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

    Wanacheza biko........nami nawachezea huku jf
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

    Dah! kama ulishapigwa 4500 naona wamepandisha dau kwangu
  5. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

    Niachane nao fastaaa...... Yaanii na mail nilyotumia kutuma maombi yaya kazi ndo hiyo hiyo...ya hr
  6. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

    Nahitaji kujua wadau
  7. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI AMRET MICROFINANCE

    Amret Microfinance wameita kwa ajili ya usaili naombeni kujua kwani naona wamenitumia mail yao wanasema usaili utafanyikia Serena hotel na ninatakiwa kulipia Tsh 7000 kwa ajili ya Refreshment na Lunch kwani hawataruhusu mtu kutoka mpaka wamalize usaili wao utakaoanza Sa3asubuhi -sa9jioni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT

    Thursday, 18 December 2014 00:00 Mwongozo kwa wanaotaka kujiunga na JKT font size Print Email Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa atoa tangazo kwa vijana wote wanaotaka kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa utaratibu wa kujitolea mwaka 2015. Utaratibu utakuwa kama ifuatavyo...
Back
Top Bottom