Recent content by Ms B

  1. M

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Biashara nyingi watu wamefunga wamama wana dharilika na mikopo ya kausha damu hali imekuwa ngumu sana kila mahali
  2. M

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Nawaza watoto Mashuleni kweli Tz ya kusaidiwa mafuta ya Alizet na mchele na Maharagwe hivyo vyakula ziko vingi sana Hapo dodoma tu Alizet mpk wanapima kwa koroboi Leo uletwe msaada 😥
Back
Top Bottom