Oh ok ! ... basi inaonekana ni mwendo wa kwenda ofisini mwao mara kwa mara na kutia pressure, huenda ikasaidia na kutoa matunda. Kila mtu huja na kesi yake na majibu yanakuwaga tofauti.
Hapa hapa kuna ndugu yetu katusaidia na majibu yake asema amepata mzigo wake mapema wa special lumpsum. Mimi...
Duuh !. Cha kwanza ahsante kwa taarifa, pili hapa habari inabidi imfikie ili aende tena kwa ofisi zao kukumbushia zaidi. Maana yapata wiki 3 ahangaika na alalama kwamba kupitia nssf portal yake status haisogei hatua za mbele. Alafu na alianzia hapohapo kigamboni. …. Yani ni hoi
Habari, sasa kuna mwenzetu alienda kufwatilia mafao yake haya ya "special lumpsum" alipambana hadi akafika stage ya kuweka alama za vidole. Hapo anasubiri tena takribani siku ngapi tena mpaka alipwe stahiki zake ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.