Recent content by Mrucy Paul

  1. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Samahan sote tu familiar,,,, nipe ushauri wa namna yeyote ile
  2. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    😅😂😂😂... Kila nikijaribu kujisahau wadau wananikumbusha kila nikiwazoom tu kosa... Ushauri nasaha wa kutumia sabuni ya Rungu ndo huwa nakumbushwa...
  3. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Inaweza ikawa ety?
  4. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Niko OG, maana nishapima mara nyingi sana ila nipo OG tu. Ilifika wakat mtaani watu wanasema mwamba kaoza!!. Ila kila nikienda kufanya checkup ya damu lazima nipime na HIV...... Asante sana........
  5. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Daah hapo kweli nimezingua. Sema kuna wakat zinashawishi kufanya vivyo, lakin nitajitahidi kuchumia jua ili nilie kivulini.....
  6. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Asante sana...........🙏
  7. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Okay, uishi miaka 💯. Nimependa ushauri wako, kujishikashika usoni na kutumbua kweli hapo huwa naferi, pia kubadili bidhaa huwa nawahi sana, nitafanya kama ulivyosema. Pia nitachukua na sunscreen.... Facewash huwa natumia CeraVe foaming cleanser,, nitaongezea ambavyo sina asante.
  8. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Watoto wa (Kikristo) hasa kipaimara na komunio wanadhalilishwa kisaikolojia na walezi wao wanapopelekwa kwenye kumbi za sherehe kuungana na walevi

    Cha msingi mimi naona bora waje upande wa pili.. Maana huku naona kama kupo vizuri hivi!, Hakuna chengachenga, wanamafundisho mazuri kweli.. Al Quran: 5:90 --- يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ...
  9. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Okay sawa, ukikaa sawa basi kama hutojali nahitaji madini yako
  10. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    [emoji28][emoji23]
  11. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Daah asante sana, ni kweli kabisa salicylic acid ni nzuri sana, na ndo bidhaa nazo tumia sasa, sijui kuna vitu labda nakosea. Pia kujifukiza ni miongon mwa mbinu ambazo nishawahi fanya. Nashukuru umeniongezea kitu. Nitatafuta hiyo dawa ya minyoo,
  12. Mrucy Paul

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Kuna tofaut kati ya chunusi na Acne .... Chunusi kwa kingereza zinaitwa pimples . Acne hakuna jina la kiswahili, Ila kuna definition of Acne...... Acne is a skin condition that occurs when your hair follicles become plugged with oil and dead skin cells. It causes whiteheads, blackheads or...
Back
Top Bottom