Kwa kweli niwapongeze na awamu ya sita huduma ni nzuri nzuri sana.na kwa kweli mnatusaidia sana. Tunasafiri raha mustarehe.
Kidogo naomba mnisaidie na maoni.
Adhabu ya kubadili tarehe kwa kutozwa hela tena. Hela nimeshatoa imeingia nimepatwa na dharura nahitaji ku reschedule tiket kupeleka...
M
Watanzania kulaliana ndio zetu. Simu ina week toka inunuliwe. Sawa na umeambiwa ni mpya. Au unaziamini zile simu used na zimeshafunguliwa na mafundi. Simu ina week unaitia kasoro. Haya ubarikiwe.nyie hamkosekani
Bei ni 350. Rang ni silver. Ipo full box na usb type C . Picha sasa labda kuomba simu ipigwe ndio ipostiwe. maana ndio hii hii. Naitumia Haina kasoro yoyote .
Mimi nalia Dodoma imebaki yatima. Miradi ya barabara kufungua maeneo ni kama imekufa. Enzi za Magu njia ya Nzuguni palikuwa pori ila palipowekwa lami tu pakafunguka. Hili lilipaswa liendelee, lami zifike kila kona walau vumbi lipungue. Imebaki ring road tu.
eneo hili ni mojawapo ya mipango bora kabisa ya iliyokuwa mamlaka ya uendelezaji mji. CDA. wali plan vizur sana miaka hio ya 1970s kwa kuweka bustan ya kupumzika.
jembe mwamba alivokuja akapaboresha sana sambamba na kuhamishia makao makuu
kwa hali ilivo sasa ni kama laiti pangetengewa hata 1% tu...
Hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa, ila wanachokifanya SUMA JKT ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja mabeg yenye faragha za kinamama.
Wakati mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha uwrap, kinachofanya SUMA...
Huduma ya choo ni muhimu kibinadamu na hongera kwa kuweka vyoo pande zote mbil, shida inakuja mnavifunga kwa kusema vibovu. Sio sawa, kama vibovu vikarabatiwe na ili kuweka hali maridhawa chaji hata sh 200 kama wenzenu wa TEMESA choo chao kipo vizuri sana.
Nyie mmeweka vyoo ila kila ukisha scan...
Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi...
Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko...
umelala? huyu anayejenga gorofa hapa barabar ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka zile kingo. vibarua wake wamekazana kutoa mawe kwa jeuri wala hajali watu.anasimama akiona gar tu kwa vile anaogopq kulala ndani.ila.maisha ya watu je?
njoo haraka uone watu wanavopiga kelel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.