Recent content by Mrs Mtaba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Waache wapoteze nguvu zao, "we dare to talk open", mbona inawauma sasa. Achaneni na mawazo potofu ya nyanya zenu na babu zenu. We are now in the world of dot com. Hivi mnadhani hao wanaowasemehe na wakaka kimya niyakweli...mtakalagagabao hapo hapo. The only cure ni kumwaga mboga baada ya ugali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Nikweli kabisa, safari moja huanzisha nyingine atiii. Nyie wote wenye midomo midomo merefi kama kenge ndio wa kwanya kuzijaza guest house Friday evening + it´s whole wkend. Midomo juu juu kama break za honda. Kama hii sio dawa kwako kwa mwingine ni dawa. Na bado mtaandika sana ila wembe ni ule ule.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Thanx a million of times, baeleze...miafrika ndivyo tulivyo...unafiki, unafiki, unafiki. Open up kuweni wa wazi na mambo yenu, tena kuanzia kitandani mpaka maofisini na kujenga taifa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania I'm going through hell!...should i keep going?

    Ila Mrs mtaba akiwa na bf ni makosa...haha ha aha ha ha JF unafiki unafiki unafiki mtupu. puh!!!!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania sumu ya ndoa ni ...

    ...Not revenging mwenzako amegapo/amegwapo nje.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Ha ha ha ha aha aha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, you made ma day boy, like me am a JF GHOST!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Poa, vipi mambo dogo. Ndo hivyo siunajua tena mambo ya hawa wadudu...wakishasema wamesema.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Kwa sababu ni demu akeleta basi nongwaaa. Ok kuharibu sasa mimi ni dume na ilikuwa ni chemsha bongo tuu kwa all the topics nilizokuwa naleta humu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Ndo kama hivi sasa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Baeleze ndugu yangu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Asanteni wachangiaji wote, jibu nimeshalipata. All the best and have good life all people.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Yes we can. To my side nadhani ni Mpango wa Mungu kukupa mtoto au sio.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Usijali baba, ndo continuation yake. lol.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Imenibidi...

    Angalia usije ukawa unamuamsha aliye lala! sijaandika hapa iwe kama reference. Fatilia na upate information full, yawezekana naye anajiuliza niwapi anaweza kumegwa bila ya ww kujua akawa hajui...so utakuwa umempa akili mwanangu mwenyewe. Tuliza ball, mambo ya jamvini uayaache humu humu. Hizo ni...
Back
Top Bottom