Naona vizuri kabisa mkuu, kiukweli nimekuwa mchovu sana ila nalihusisha na kushindwa kulala kwa utulivu kabisa sababu ya kuamshwa na mkojo. Aiseeee na muda wote napenda kulala kama sio kazi za watu asubuhi wala nisingeamka..
Namnyonyesha na mtoto Wa miezi 7 sasa. Afya yake supa kabisa
Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.