Ndugu yangu, naomba kukutia nguvu, ni ngumu na haisahauliki ila mgeukie MUNGU WA MBINGUNI yeye anauwezo wa kuziba majonzi moyoni mwako kwa upendo wake.jitaidi kuwa msomajiwa Biblia na vitabu mbalimbali, kutazama sinema na kukaa na marafiki isikae mwenyewe ili kupunguza mawazo.nataka uwe na moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.