Recent content by Mrs Habib

  1. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utofauti wa majina kwenye vyeti na vya shule na NIDA inaweza kuwa ni sababu ya kutokuitwa kwenye usaili?

    Iko hivi kwenye vyeti vyangu vya shule nina majina mawili tu hakuna jina la ukoo lakini kwenye nida kuna majina matatu pamoja na jina la ukoo. Ni miaka minne sasa kila nikiomba kazi serikalini siitwi hata kwenye usahili shida inaweza ikawa ni hii ya utofauti wa majina na kama shida ni hii...
  2. Mrs Habib

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wanisadie nahisi kabisa sio mtu wa kawaida

    Maybe umemuelewa sana, ndo maana unamuwaza kila muda
  3. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    😂kwanza nicheke
  4. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Same na mimi hivyo hivyo
  5. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Unaangalizia wap huo muda
  6. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Umefanikwa?
  7. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Anhaa nmeelewa asante
  8. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Kufanya test
  9. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Umefanyaje mbona inagoma kwangu
  10. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Nipo nahangaika nayo tangu huo muda waliosema haikubali kabisa kwa mwisho saa ngap?
  11. Mrs Habib

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Nmejaribu tangu muda walioweka nakuwa rejected sijui shida imekuwa nini na muda umeisha kuna yeyote aliepata shida kama yangu kazi ndo imepita hivyo
  12. Mrs Habib

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naelekea kuzama penzini

    Kumbuka una mke tayar hiyo ni picha kama picha zingne tunza familia yako acha shetani akupitee
Back
Top Bottom