Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu kuihusu Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).
Kumekuwa na tabia ya kuchelewa kufanyia kazi maombi yanayowasilishwa kwa ajili ya kupata leseni za kutoa huduma za Uhasibu/Ukaguzi mathalani maombi yanaweza kuchukua...
Naomba kuwasilisha kero ya barabara hii ambayo kwa zabuni namba AE/092/2022/2023/DSM/W/04 iliyotangazwa Mei 2022 ilitangazwa kufanyiwa maboresho cha kushangaza baada ya maboresho hayo barabara haikudumu hata miezi mitatu ikaharibika tena.
Tangu mwaka jana barabara hii haipitiki na tunahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.