Ndugu yangu@chiembe, kwa maneno yako haya, una maanisha watu tusiokuwa na hulka ya matusi tusiwemo humu JF, haipendezi platform kama hizi kuwa dictator wa mawazo. Unaweza kutetea hoja zako ama uka counter hoja kinzani bila matusi. Inawezekana ndugu yangu.
Hivi ni vituo vya kupigia kura kama shule ya msingi sagana ambavyo viko 49000 kama sikosei wakenya mtanikosoa mm ni MTZ nilikuwa namuelewesha mwana JF mwenzangu
Comments kama hizi za kidini hazipaswi kutolewa na mtu yeyote anae elewa mambo. Ni chembe chembe za kurutubisha bomu la religious conflicts. Tutafute historia ya mataifa yaliyopitia hii adhia watuambie na tujifunze. Uteuzi wa Mh Raisi unazingatia uweledi na sifa za mteuliwa bila ya dini yake...
Katika dhana ya kukosoa, kuna mawili! mosi, unaweza ukamkosoa mtu kwa kutumia mtu mwingine kama reference yako. Mfano yawezekana wewe ulikowa ni mfuasi wa Raisi aliyepita. Ukaona Raisi SSH anaenda kinyume na sera za aliye pita apo utakosoa. Hakuna tatizo ila lazima ujiandae kupingwa na kundi...
Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.