Recent content by mrmbao

  1. mrmbao

    List ya movies zako pendwa za kivita (war movies)

    Hiyo black hawk down ni noma mjomba[emoji38][emoji38][emoji38]
  2. mrmbao

    Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Jamani plug no 2 haichomi inaungua, kuna fundi anasema valve zimekonda tubadilishe . Jamani ma engineer tatizo itakuwa mini hapo
  3. mrmbao

    Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

    Kaka nimepata tatizo Kama lako kwenye suzuki swift nimebadilisha pump, coil lakini bado tatizo lipo Ulikuta sensor gani imekufa
  4. mrmbao

    Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Mkuu nina suzuki swift 1.3 M13A engine iliwasha taa ya check engine alafu inazima kupeleka kwa fundi nikaambiwa fuel pump imekufa nikanunua nyingine lakini bado likaendelea kwa mabadiliko kidogo kwamba check engine inawaka lakini gari haizimi kupeleka tena kwa fundi wakasafisha O2 sensor baadae...
  5. mrmbao

    Kwenye Upande wa matengenezo: Nini cha kuzingatia kabla na ukiwa kwenye safari ndefu

    Mimi nilitumia mafuta ya 70,000/= kutoka uyole mpaka dom kwenye IST Lita ilikuwa 2300.
  6. mrmbao

    Kwenye Upande wa matengenezo: Nini cha kuzingatia kabla na ukiwa kwenye safari ndefu

    Kwa uzoefu wangu WA safari ndefu kwanza angalia Tairi zako Kama zimexpire au kuisha, upepo stahiki kwenye Tairi. 2.ball joint, tire road end Kama zipo vizuri. 3. reckend na hyrolic Kama zipo vizuri. 4.kagua rejeta na coolant hakikisha iko sawa. 5.AC ikague inasaidia Sana mvua inaponyesha...
  7. mrmbao

    Toyota swift.

    Stability ipo japo sio sana siunajua teknolojia yake ni ya nyuma ila iko vizuri
  8. mrmbao

    Toyota swift.

    Suzuki swift ni nzuri ninayo haisumbuisumbui pia consumption yake imetulia Yangu ni cc 1300 napiga rout sana Arusha to kigoma Kigoma to kyela Kyela to dar Hakajanisumbua kwakweli
  9. mrmbao

    Fundi power steering gari zote

    Fundi Mimi gari yangu suzuki swift kuna muda ukiwasha gari steering inakuwa ngumu mpaka uzime uwashe tena fundi ameniambia shida ni steering reck Naomba ushauri
Back
Top Bottom