Daah!,jamaa alikua n sera nzuri sana!.Nackitika hakua mvumilivu kisiasa na yaonyesha hakutaka maslahi y Taifa bali alitaka maslahi yake binafsi.Tujuzeni jamani yuwapi
Ili serikali kw ujumla ifanikiwe kukwepa tuhuma za upendeleo wa kidini inatakiwa kuhakikisha Huyo diwani na Mchungaji wanapatikana na hatua kali za kishelia zinachukuliwa juu yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.