But kuna mataifa kama china , marekani n.k nayo yana miradi mikubwa tu baran afrika, kwann isiwe wb pekee na siyo mataifa , ist true that ni ukolon mamboleo n Africa ?
Ofcoz wachambuzi wengi na wafuatiliaji wa masuala ya kimataifa wanatafsiri kuwa uwepo wa WB ni njia ya ukoloni wa rasirimali za afrika, BT nisiwe msemaji wa wengi, je afrika tunaikwepa vipi hii colonialism systerm,
Jeshi LA polisi nchini tanzania chini ya wizara ya mambo ya ndani ambayo nayo inaendeshwa na ninja KANGI LUGOLA wanalichukuliaje ama wanalitafsiri vipi neno WASIOJULIKANA ambalo linatumika kwa watu wanaoliwekea lawama jeshi kwaujumla, wasiojulikana naona hawawezi kuisha kama wasipojulikana na...
Luna mataifa kama mareka , china na mengine yamekuwa yakija afrika kuwekeza na mpaka sasa kuna miradi kadha wa kadha chini ya mataifa ambayo nisingependa kuyataja, Je kwann haya mataifa na siyo WB, je masharit ya WB ni magumu ama Masharti ya Mataifa kama uchina na marekani ni rahis sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.