Sasa timu yenyewe bado. Ndio maana kawashauri watoke nje wapate exposure. Hawezi kucheza peke yake timu nzima. Hivi unadhani tukimleta Christano Ronaldo, Messi au Mbape ata perform bongo kama anavyo perform huko kwao? Dah, naona wewe una beef naye tu. Huwezi kumhukumu kwenye timu hii. Ame prove...
Hii misimu miwili consecutive, sasa kama unajua hilo unawezaje kumhukumu Samatta kwa mechi tatu na timu yenyewe bado haijaandaliwa ikawa Bora? Lakini kama unaangalia mpira kwa usahihi tusingebishana, either huangalii au unaangalia ukiwa na biasenes. Samatta anajiamini, ana nguvu na anajiposition...
Biashara ni branding. Hao unaona wazuri matangazo mengi yanasaidia. Sammata angekuwa mkenya angeonekana mfalme, lakini wabongo tunavutana mashati. Yaani Belgium wanaimba Samagoal halafu kuna mbongo anasema hakuna kitu.
Samatta yupo vizuri Sana. Sasa hawezi kukaba yeye, atoe pasi yeye afunge yeye. Tumefunga magoli mawili tu na yote yana juhudi za Samatta. Alipiga shuti likamshinda kipa ndio Msuva akafunga, lingine ni yeye katikati ya mabeki watatu na kipa wao juu akafunga. Tusifananishe kiwango hicho na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.