Recent content by MrFroasty

  1. MrFroasty

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Tatizo tumeungana wakati tuna njaa, watu hufanya muungano wakishashiba. Ndio story kama hizi huibuka, umemkuta mzanzibari mmoja Dar unaanza mbona wapo huku. Umeenda Zanzibar maeneo kama Kiwengwa, Nugwi au hata pale Darajani ?
  2. MrFroasty

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Nope huyo ameniambia mwenyewe kama si mzanzibari.
  3. MrFroasty

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Nenda Jozani pale utakutana na kina Sara na Josephu wanafanya kazi kwenye taasisi ya utalii. Mambo ya muungano hayajulikani tena, but I hope Jozani sio taasisi ya muungano.
  4. MrFroasty

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Scholar wa kiislamu kaingia kwenye ukristo sio ... mnachekesha sana :D
  5. MrFroasty

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Mungelijua yalio kwenye mioyo ya wazanzibari, basi nadhani watanganyika msingekuwa mkija na thread kama hizi. Ukweli ukienda Zanzibar kila corner ya km kama 25 basi unapita kwenye checkpoint ya vyombo vya usalama vya Tanganyika (sawa na wapalestina). Sasa ifike wakati tuheshimiane bana, mkiona...
  6. MrFroasty

    SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    Bei mbona za vitu vyote vimepanda duniani kote 🤷‍♂️
  7. MrFroasty

    Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Muungano wenyewe ndio kero namba moja. Bado naendelea kuutathmini una faida gani kwa wazanzibari.
  8. MrFroasty

    Masultani wa Zanzibar Ali Bin Hamud, na Khalifa bin Harub, walikuwa Waafrika

    Labda utuelezee nini maana ya mwafrika ? Ni mwarabu maana msudani anazungumza kiarabu. Sidhani kama aliposema yeye ni mwarabu alikusudia hivyo unavyotaka kwamba yeye sio black ni white (lengo la rangi ya ngozi). Labda umuulize more precise are you considering yourself black or white ?
  9. MrFroasty

    Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

    Mie nimechanja mara 2 na nilishaitwa ya 3 nimekataa. Mambo mingi nimepinga kuhusiana na JPM katika uhai wake, lakini hili la chanjo na covid-19 anaweza kuwa alikuwa juu ya mstari. My speculation hizi chanjo ni kama sumu ya immune system, ukiweza pata upenyo kuikimbia basi fanya hivyo hususan...
  10. MrFroasty

    Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

    Yaani mngelijua, izo mask usoni hazisaidii chochote (scientifical fact)
  11. MrFroasty

    Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Wakuu kwa ufupi kwa wale wenye haraka na muda mchache wa kusoma chapisho zima. Katika hii naibu waziri Godwin Mollel ametembelea ujenzi na kujibizana na Mkuu wa Idara ya Ujenzi (Paul Koroso). Baada ya majibizano, naibu waziri ametoa amri Paul Karoso aswekwe mahabusu. Na polisi wakamchukua na...
  12. MrFroasty

    Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

    Mikataba yenu inasemaje kwani ? Mie si mtumishi wa umma, lakini katika mkataba wangu kumeainishwa kiwango cha uongezekaji wa mshahara. Sasa bado najiuliza aliwazaje Magufuli aliyoyafanya na vipi watu wanaweza kujipanga yasijirudie tena huko mbele ya safari. Kwanini watu hawaburuza mahakamani...
  13. MrFroasty

    Tuungane na Burundi tuifaidi Congo

    Tanganyika haina nia ya kumsaidia mtu, Zanzibar hatujaona chochote dhidi ya kuekewa mguu shingoni tusifurukute.
  14. MrFroasty

    Tuungane na Burundi tuifaidi Congo

    Bora muungane na Burundi muachane na Zanzibar lakini.
  15. MrFroasty

    Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    Sheria za ardhi kama zilivyo hazina tofauti na ile experiment ya ujamaa. Migogoro haitamaliza hadi pale tutaposema sasa wanasiasa waondoke kwenye umiliki wa ardhi. Pengine akili yangu ni fupi, kwanini kuna tofauti kati ya umiliki wa ardhi na mali zengine kama gari / duka / nguo ? Sijawahi...
Back
Top Bottom