Recent content by MR_SULLEY

  1. M

    Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

    Kuna mmoja kasema chuo kiliwapa vyeti baada ya kuwatahini kwa hiyo hakuna haja ya usaili, anataka kusema kada zingine vyuo vyao hawana mitihani? Haviaminiwi mbona wanafanyishwa usaili?
  2. M

    Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

    Tufungue vifungu vya biblia mna uhakika vyote vinafuatwa mpka sasa? Ama tuvilete afu utuambie kwanini vingine mmepuuza ila la mume kuwajibika mnalikomalia?
  3. M

    Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

    Ni dynamics ndo maana zamani wanawake walikuwa hawamiliki mali, hawana maamuzi kwenye ndoa, wanapigwa, hawapewi uongozi ila sasa vyote hivyo vimebadilika. Hivyo hata la mahari watu wanaweza badilisha mtazamo
  4. M

    Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

    Maisha ya zamani yalikuwa tofauti sana na sasa. Zamani ukioa una mmiliki mwanamke, una mcontrol kulingana na matakwa yako, baadhi ya mila ziliruhusu kuadhibu inapobidi kwa kuw umelipa mahari. Anakufanyia kazi zako na kukuhudumia utakavyo. Sahivi hzo mila za kuwa juu mnaita mfumo dume na mnasema...
  5. M

    Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

    Mahari ni utumwa kwa dunia ya sasa. Nakubali hoja zako mkuu
Back
Top Bottom