Recent content by Mr_S

  1. Mr_S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV ya mtumba inchi 24 inauzwa

    Location: kiwalani, Temeke, Dar es salaam
  2. Mr_S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV ya mtumba inchi 24 inauzwa

    Mimi nimesema haitumii flash. Niambie wapi nimeandika habari ya USB PORTS ?. Mbona wewe na Bujibuji Simba Nyamaume mnanilisha maneno ? Kama unataka TV yangu ionekane kimeo sawa fanya hivyo lakini sio kwa njia ya kuingiza maneno ambayo sikuyazungumza. Sijazungumza lolote kuhusu USB PORTS.
  3. Mr_S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV ya mtumba inchi 24 inauzwa

    TV ina-support, HDMI, AV na aina nyingine ya connection
  4. Mr_S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV ya mtumba inchi 24 inauzwa

    Wapi nimeandika haina USB PORTS ?
  5. Mr_S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV ya mtumba inchi 24 inauzwa

    TV ya mtumba inchi 24 inauzwa. *Button zake za kuwashia/kuongeza/kupunguza sauti ni za kugusa. *HAINA REMOTE *HAITUMII FLASH *Bei: 150,000/- (maongezi yapo) *Location: Kiwalani, Dar es salaam. *WhatsApp/simu: 0656 203 045
  6. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sony Playstation 3 (PS3) inauzwa

    *Mawasiliano: 0656 20 30 45
  7. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sony Playstation 3 (PS3) inauzwa

    *Location: Kiwalani, Dar es salaam
  8. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sony Playstation 3 (PS3) inauzwa

    Sony PlayStation 3 (PS3) inauzwa. Imetumika kwa mwezi mmoja (1) *Ina HDD yenye 250 GB. *Inakuja na padi mbili (2) *Inakuja na waya wa power, waya wa HDMI na nyaya mbili (2) za kuchajia padi. *Ina games tisa (9) ndani: AC: Black flag, AC: Rogue, Metal Gear Solid, Tomb rider, Injustice, Blur, PES...
  9. Mr_S

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Moroccan Leather
  10. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Mali bado zipo
  11. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Basi ukiachana na game za mpira. PS2 na PS3 zina game nyingine kali sana ambazo hata PS4 kwenyewe hazipo
  12. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Ushauri mzuri boss. Mtandao ukitulia tu nazipandisha
  13. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Wewe uliwahi kucheza game ngapi za ps2 na ps3 ?
  14. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Ps4 za vijana wa kisasa. Sasa wa enzi zile game zetu simple simple huwa tunacheza hata ps2.
  15. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Duh! Kweli mbali!
Back
Top Bottom