Recent content by Mr Zee

  1. M

    Mbowe, Umewatupa wapiga kura wako Hai, jitafakari upya

    Mleta mada umechemka sana,hivi ninani asiyejua juhudi za Mbowe ktk jimbo la HAI ,mpaka Kikwete na Magufuli (akiwa waziri) walipotembelea HAI walikubali utendaji wa MBOWE na kula alizopata ktk uchaguzi uliopita pia ni ushahidi wa kutosha kuonyesha juhudi zake za kuleta maendeleo ktk jimbo...
  2. M

    Gari inauzwa mecedes benz c180

    picha hiyo hapo
  3. M

    Gari inauzwa mecedes benz c180

    Gari aina ya Mecedez benz C180 yenye namba D inauzwa bei 19 million DETAILS Make: Mercedes Benzi Model : C180 Engine size : 1796 CC Transmission : Automatic Year of Manufacture : 2004 Colour : Silver Registration Number : DAV................ Other quality : Leather seats 4 cylinder valves...
  4. M

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Huu ni upuuzi tuu wa wapuuzi wachache wanaotaka kuwafanya watanzania wote ni wapuuzi kwa kuwaaminisha upuuzi ulioratibiwa na wapuuzi wachache katika wakati huu wa uchaguzi kama mwaka ule wa uchaguzi 2005 tulipoona sinema ya IGP Mahita akitujulisha kwamba wamekamata sime na majambia...
  5. M

    Tundu Lissu kuunguruma uwanja wa Mashujaa - Mtwara Mjini leo tarehe 26.04.2015

    Wananchi wote na wapenda demokrasia wote wamkoa ya Mtwara pamoja na wilaya zakezote wanaalikwa kuhuduria mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Mashujaakatika manispaa ya Mtwara , leo Jumapili tarehe 26.04.2015 kuanzia saa nane (8.00) mchana mpaka saa kumi na mbili jioni(12.00) Mkutano...
  6. M

    Mikutano ya CHADEMA Mtwara Mjini ya watia hofu CCM

    Tutaendelea kwajuza matukio Zaidi yaliojitokeza
  7. M

    Mikutano ya CHADEMA Mtwara Mjini ya watia hofu CCM

    Napenda kuwapongeza viongozi wa CDM Mtwara Mjini kwakufanikisha mikutano mikubwa ya hadhara katika viunga vya Manispaa ya Mtwara, 15.03.2015 mkutano mkubwa sana ulifanyika katika viwanja vya Sinani kama inavyoonekana katika picha. Mkutano huu uliwavutia sana wana-Mtwara waliojitokeza kwa...
Back
Top Bottom