Kwa upande wangu naweza nikasema ni human nature kwa sababu mpka mtu anaiba inakuwa ni nature ya kujipendelea na nahitaji apate hicho kitu kwa hali na mali yaan kiufup mtu anajifikiria yeye bila kuangalia hisia, mitazamo na mahitaji ya wenginee
Hvyo ndivyo navyowaza mm kwa upande wangu
Maana yake ni kuacha kuwaza sana kuhusu watu watasema nini, watakufikiriaje, au watafanya nini. Kubali kwamba huwezi kuwadhibiti watu wengine—unaweza kudhibiti maamuzi na maisha yako.
Kwa kifupi: Waache wafanye yao. Wewe endelea na maisha yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.