yah! I hope tulikuwa wote siku ya ijumaa tar 04/03 jioni hivi na palikuwa na gari chache sana... ila watu wanasubiri mda mrefu inapelekea kujaa sanaaa...
Huo sio utapeli, ila ni kamari(bahati nasibu) kuna kuliwa na kula.
Ndio maana dini nyingi zimekemea vikali
Mfano. Qur-an 5:90
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa...
Je, ulishawahi kutapeliwa na kampuni iliyosajiliwa!?
Taasisi nyingi za kiserikali na binafsi kwa sasa husajili vitu vingi online ili kurahisisha na kuongeza ufanisi.
Mfano TRA na BRELA.
TRA huweza kusajili TIN no. Bure mtandaoni na BRELA ukasajili kampuni mtandaoni.
Hiii imesaidia vitu vingi...
Biashara si kitu cha kutoa tu wazo likaendana na wewe, kwanza inabidi utoe na taarifa zako nyingine ili usaidiwe zaidi... Mfano unapoishi, kama unamiliki eneo unachopenda na unachokiweza n.k kwasababu naweza nikakwambia fuga samaki ila ulipo au wewe mwenyewe hupendi hiko kitu....
NIMEULIZWA NIMEPEWA HAYA MAJIBU.... ni bora tungepata watu walio kwisha nunua na sio nadharia....
Embu tupate mrejesho kwa walionunua na hii kampuni.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.