Nafanya hivi baada ya kupumzisha kichwa changu kwa kipindi kirefu kidogo baada ya kufanyiwa mambo ya ajabu na aliyekuwa mchumba, namanisha natafuta mchumba mi mwanaume wa miaka 36,elimu chuo, kimo changu cha kati c mrefu wala mfupi,na muajiriwa, nimefungua account kwa kusudi la kosolve tatitizo...
Eti kwa haraka haraka ile sherehe imetumia pesa kiasi gani? ivi kwa ile hela tusingeweza kupata tc scani( sijui nimepatia) ah mi siyo doctor ata ivo, ila namanisha kile kipimo cha kuchunguza mwili wa m2,moja tu nakuokoa maisha ya wabongo kibao,mawazo yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.