Recent content by Mr Pot

  1. Mr Pot

    Wanangu msiogope kujenga, hapa nimetumia 6M

    Uongo mtupu! hakuna kitu kama hiki labda ni nyumba ya tope umeweka plasta tu
  2. Mr Pot

    Naomba kujuzwa gharama za ujenzi vyumba vitatu mpaka lenta

    Kwa Dar wastani m9-m14 vyumba vitatu vya kisasa
  3. Mr Pot

    Kwenye bajeti vifaa vya ujenzi kama mabati, nondo etc.. kuna kitu kimezungumzwa?

    Jamani waliofatilia bajeti..kwenye vifaa vya ujenzi kama mabati, nondo etc..kuna kitu kimezungumziwa?
  4. Mr Pot

    Kujenga nyumba ya kisasa kunaweza gharimu Tsh. ngapi?

    Andaa tu m35 utafikia level ya kuhamia
  5. Mr Pot

    Wapi nitapata mabati ya bei rahisi migongo mipana?

    Kama una hela Alaf ndo habari ya mjini
  6. Mr Pot

    Nichukue Premio au IST

    nimeangalia mtandaoni premio ya bei ndogo ni $3044 ...ambayo mwisho wa siku na ushuru ni m15....
  7. Mr Pot

    Nichukue Premio au IST

    kuagiza nimeambiwa 15-16
  8. Mr Pot

    Nichukue Premio au IST

    kumbe gari zenyewe mbaya ivi
  9. Mr Pot

    Nichukue Premio au IST

    sema IST nazo watu wananiambia et za kike[emoji38]
  10. Mr Pot

    Nichukue Premio au IST

    sasa kwa icho kiasi naweza ipata
  11. Mr Pot

    Nichukue Premio au IST

    Habari ndugu wana JF mimi nina M12, nishaurini ninunue premio used apa bongo au ninua ist used Japan?
  12. Mr Pot

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    kisa nilianza kujenga, ujana wote nimekula msoto...bora ningeanza gari kwa kweli
  13. Mr Pot

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    wakati mwingine tuliozaliwa mazingira ..unakuta hakuna gari..kichwani tunawazaga kumiliki gari ni likitu likuubwa..mimi kwa kweli najilaumu nimeanza kumiliki gari nina miaka 43, yaani nilichelewa kufanya maamuzi
  14. Mr Pot

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    si ajabu, kwa mtu mwenye ajira ya uhakika ..ata akianza na gari si mbaya, kama nyumba atajenga tu...tofautisheni mambo..individualize your case watu hatufanani
  15. Mr Pot

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    sasa assume mtu ana kipato cha laki nne cha uhakika let say ni mwajiriwa wa serikali...akinunua gari ya m6-10 itamshindaje kumdu? gari huwa inasimplfy mambo mengi...achaneni na mawazo ya gari ni luxury ..gari ni usafiri tena ni muhimu kwa maisha ya sasa..labda kama unaishi bush
Back
Top Bottom